
Basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea likiwa limetumbukia mtoni Leo asubuhi.
Basi hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea kabla ya kutumbukia mtoni baada ya kujaribu kulipita gari lingine na kukutana na lori mbele yake kisha likatumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara.
wakati dereva wa basi hilo akijaribu kukwepa lori hilo.Bado
haijafahamika ni abiria wangapi wamepoteza maisha ama kujeruhiwa
Taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata kutoka kwa mamlaka
husika. (KILONGE)
Chapisha Maoni