Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye Taifa akisalimiana na Mzee Masoud Ali
Chitende Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mtama mara baada ya kuwasili kwenye
kata ya Mtama ambapo alipata nafasi ya kuwasalimu wajumbe wa
Halmashauri Kuu za Kata Mtama na Majengo, Mtama mkoani Lindi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiteta jambo na
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mtama Mzee Said H. Maluma,kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM kata ya Majengo Mzee Omari Mataka.
Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata ya Mtama na Majengo
wakimsikiliza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye .
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mtama Mzee Said H. Maluma akizungumza jambo
wakati wa kumkaribisha Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape
Nnauye kwenye ofisi ya CCM kata ya Mtama.
Chapisha Maoni