Kennedy Mamuya enzi ya uhai wake
Bi. Loveness Mamuya wa
Odenton, MD inasikitika kitangaza kifo cha kaka yake mpendwa Kennedy
Mamuya kilichotokea alfajiri ya 5/27/15. Tanzania.
Kama ilivyo mila na
desturi kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata muda pita nyumbani kwa
wafiwa na kumpa mkono wa pole na kuwafariji katika msiba huu wa
kuondokewa na mpendwa kaka yao.
Msibahapa DMV upo
1005 Meandering Way,
Odenton, MD 21113.
Kwa maelezo zaidi unaweza piga simu Lovenesss Mamuya (240) 423 0437
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
Chapisha Maoni