WAZIRI wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza diwani wa Nhavila,
wilayani Masasi, Meja Ramadhan Chilumba, jana, katika sehemu ya mto,
wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli
ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na
mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.
Katibu Tawala
wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa maliasili
na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo
alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli ambako alitembelea
watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na mamba, alipokwenda kutoa kifuta
machozi kutoka wizarani kwake.
Diwani wa
Nhavila, wilayani Masasi Meja Ramadhan Chilumba akimsaidia Waziri wa
maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupanda kingo za mto, alipotembelea
mto Ruvuma mpakani na Msumbiji kutoa kifutajasho kwa watu waliojeruhiwa
na kuuawa na mamba katika mto huo.
Diwani wa
Nhavila, wilayani Masasi Meja Ramadhan Chilumba akimwongoza Waziri wa
maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipotembelea mto Ruvuma katika
kijiji cha Manyuli wilayani Masasi, mpakani na Msumbiji alikokwenda
kutoa kifutajasho kwa watu waliojeruhiwa na kuuawa na mamba katika mto
huo.
Waziri wa
maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wanakijiji wa
Manyuli wilayani Masasi ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine
kuuawa na mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani
kwake.
Wanakijiji wa
Manyuli, wilayani Masasi wakimsikiliza Waziri wa maliasili na Utalii,
Lazaro Nyalandu alipozungumza nao jana, alitembelea watu waliojeruhiwa
na wengine kuuawa na
mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.
Waziri wa
maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akikabidhi hundi ya fidia kwa
Katibu Tawala wilaya ya Masasi Dunford Peter ili zigawiwe kwa watu
walioathiriwa na mamba katika vijiji vilivyo kando ya mto Ruvuma jana,
ikiwa ni mpango wa serikali kufidia watu waliojeruhiwa ama kuuawa na
mamba nchini.
Chapisha Maoni