Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti
Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(kushoto),
Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula(kulia) na katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana(watatu kushoto) wakati ufunguzi wa Kikao cha Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachofanyika katika ukumbi wa White
House Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha
Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM Stephen Wasirra na Adam
Kimbisa wakijadiliana muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha kamti kuu
mjini Dodoma leo
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM Mh.Jesniter Mhagama na Jerry
Slaa wakijadiliana muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha kamti kuu
mjini Dodoma leo
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt.Emmanuel Nchimbi na
Jenister Mhagama wakijadiliana muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha
kamti kuu mjini Dodoma leo
(picha na Freddy Maro)
Chapisha Maoni