
Vitambi FC
Timu ya Stars United itacheza mechi ya kujipima nguvu na Vitambi FC siku
ya Jumamosi May 30, 2015 katika uwanja wa Heurich anuani ni 6001 Ager
Road, Hyattsville, MD 20781. Mechi ni ya maandalizi ya Vijimambo Soccer
Tournament itakayofanyika Labor Day Weekend.
Stars United inatarajiwa kuelekea Atlanta, Georgia June 27, 2015 kucheza
na Eritrea katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya ligi ndogo
itakayofanyika DMV.
Mechi ya Vitambi FC itachezwa saa 9 kamili alasili siku hiyo ya May 30, 2015.
Chapisha Maoni