Sunday, May 24, 2015
TAMASHA LA GOSPEL CONCERT & CONFERENCE MEMORIAL WEEKEND, COLUMBUS, OH.
Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone
akiimba moja ya nyimbo zilizowainua watu vitin kwenye tamasha la Gospel
linaloendelea mjini Columbus tangia siku ya Ijumaa May 22 na
kuhitimishwa leo siku ya Jumapili May 24. Tamasha lilihudhuriwa na watu
kutoka mataifa mbalimbali wengine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya
mbali na Ohio.
Mwimbaji kutoka Jamhuri ya Congo akienda sambamba na mwimbaji mahili
wa nyimbo za injili Upendo Nkone kwenye tamasha la Gospel lililofanyika
siku ya Jumamosi May 23, 2015 6230 Busch Blvd suit 260, Columbus, OH
43229.
Mchungaji Donis Nkone ambaye ni kaka ya mwimbaji Upendo Nkone akitoa
ukifanya utambulisho kwa bendi iliyokuwa ikitumbuiza nyimbo za injili
kwenye tamasha la Gospel lililofanyika siku ya Jumamosi May 23, 2015
mjini Columbus.
Mchungaji Donis Nkone na mkewe Nnunu Nkone wakifuatilia tamasha la Gospel
Bendi ikienelea kupiga moja ya nyiimbo za mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone.
Bendi ikitumbuiza.
Chapisha Maoni