Mwenyekiti
wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya
waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la
Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na
wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka
na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko
hilo.
Katibu
wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew
akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la
Mchikichini-Ilala baada ya wafanyabiashara kuziba njia inayoruhusu
magari kuingia na kutoka nje ya soko hilo, ambapo hata magari
yanayochukua uchafu katika soko hilo yanashindwa kufika.kuchukua uchafu
huo.
Mlundikano
wa Takataka katika Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam
ambazo zimekuwa kero kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Hili
ni eneo la kuegesha magari lakini wafanyabiashara wamegeuza kuwa sehemu
ya kuuzia bidhaa zao eneo katika Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar
es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka.
Chapisha Maoni