Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town,
Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa
nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha
Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583. Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo.(Muro)
Chapisha Maoni