
Maafisa wawili wa shirikisho la soka
nchini Congo Brazaville wamepigwa marufuku na shirikisho la soka
duniani FIFA kwa ukiukaji wa maadili.
Taarifa hiyo iliotolewa na FIFA imesema kuwa uamuzi huo ulichukuliwa baada ya wawili hao kukiuka kanuni na maadili ya FIFA.
Shirikisho hilo hatahivyo halikutoa maelezo zaidi kuhusu hatua yao.
Chapisha Maoni