
Ikiwa itabainika kuwa anaugua uugonjwa huo, kitakuwa kisa cha kwanza cha ugonjwa wa MERS kuripotiwa barani Ulaya tangu ugonjwa huo kuripotiwa nchini Korea Kusini mwezi uliopita.
Shirika la afya dunia limeutaja ugonjwa wa MERS kwa mkubwa. Litaandaa kikao cha dharura kuzungumzia ugonjwa huo siku ya Jumanne.
Hadi sasa watu 14 wameripotiwa kuaga dunia kutoka na homa ya MERS.CHANZO: BBC SWAHILI
Chapisha Maoni