
Shirika la Kimataifa la Biashara
Duniani, WTO limesema India haijafanya uamuzi wa haki kuzuia uingizaji
wa kuku na mayai kutoka Marekani kwa hofu ya ugonjwa wa mafua ya ndege.
Uongozi wa serikali ya Rais Obama umekubaliana na uamuzi huo, ingawa kiwanda cha kuku nchini Marekani kimeona kuwa India inaacha kupokea kuku wenye thamani ya dola milioni mia tatu.
Chapisha Maoni