Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi
waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo
Jumatatu Juni 8, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake
toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe Wilson Masilingi baada
ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini
the Hague, Uholanzi leo Jumatatu Juni 8, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini
the Hague, Uholanzi leo Jumatatu Juni 8, 2015
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi
Mhe. Bert Koenders jijini The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katikati wakati Waziri wa Zanzibar
Mhe Ramadhani akigonganisha glasi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi
Mhe. Mark Rutte jijini The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015. Kushoto ni
Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mfalme Willem Alexander katika
kasri la Kifalme la Noordeinde jijini The Hague leo Jumatatu Juni 8,
2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mfalme Willem Alexander katika
kasri la Kifalme la Noordeinde jijini The Hague leo Jumatatu Juni 8,
2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Mahakama ya Kimataifa
ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de Gurmendi
alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague leo
Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa na Rais wa Mahakama
ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de
Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague
leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kuongea na Mabalozi wa nchi
mbalimbali za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Uholanzi jijini The
Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.
Picha ya pamoja
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mhe Mark Rutte jijini The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.
PICHA NA IKULU
Chapisha Maoni