Watu wawili wameripotiwa kujeruhiwa baada ya ndege moja ndogo kuanguka katika eneo la makazi la Chofu lililoko mjini Tokyo nchini Japan.
Ajali hiyo ilitokea nyakati za asubuhi ambapo nyumba tatu pamoja na magari mawili pia yaliteketea.
Timu ya wazima moto wanaarifiwa kuwasili katika eneo la tukio na kuanza shughuli za uokoaji.
Watu watatu wameripotiwa kuokolewa kutoka kwenye eneo la tukio huku wawili kati yao wakisemekana kuwa katika hali mbaya.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo lililokuwa karibu na uwanja wa ndege wa Chofu ambao hutumika kwa ajili ya ndege ndogo nchini Japan.
MBODO AKUTANA NA POSTAMASTA WAKUU WASTAAFU KUBADILISHANA UZOEFU ILI
KUIMARISHA POSTA
-
Postamasta Mkuu Bw. Macrice Mbodo, amekutana na Mapostamasta Wakuu Wastaafu
katika kikao maalum kilicholenga kubadilishana uzoefu juu ya namna ya
kuendel...
Saa 3 zilizopita
Chapisha Maoni