kiongozi wa makundi ya kigaidi anayehusika na maeneo 4 yaliyopo
kaskazini mwa nchi ya Afghanistan Mullah Muhammad Nabi atiwa mbaroni.
Msemaji wa kituo cha Polisi cha Faryab Masoud Said Jacob, alisema kuwa Nabi alikamatwa katika mji wa Faryab wilaya ya Gurziv.
Yakubi, aliendelea kusema kuwa Nabi anashikiliwa kwa makosa wa
umwagaji damu katika mashambulizi ya ugaidi na kuingiza silaha kutoka
nje.
TIMU YA WATAALAMU KUTOKA SADC WATEMBELEA TMA KUKAGUA NA KUKABIDHI VIFAA VYA
HALI YA HEWA
-
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka
Kituo cha Kikanda cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jum...
Saa 4 zilizopita
Chapisha Maoni