Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es
salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya
Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu , Mama Tunu
Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika
futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye
ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa
mgeni rasmi katika futari hiyo. Viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa
Mwanza pia walialikwa katika futari hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa futari
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa mkoa wa Dar es
salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaan Julai 3,
2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Viongozi wa
kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza pia walialikwa kwenye futari hiyo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za
mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na
Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu kongamano litakalo
wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo
jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika
kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Suzan Lymo, akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa
Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo.

Na Dotto Mwaibale
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandaa
kongamano la wazee ambalo litafanyika Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es
Salaam leo.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo mchana
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la chama hicho, Hashim Juma Issa alisema
kongamano hilo litawahusisha wazee wote nchini bila ya kujali itikadi za
vyama vyao.
Alisema dhima kubwa ya kuanzisha kongamano hilo ni kuwapa elimu wazee
bila kujali itikadi zao za kisiasa hasa katika kipindi hiki cha
kuelekea uchaguzi mkuu.
"Wazee wengi wamekuwa hawafahamu nini majukumu yao kama wazee lakini
kongamano hili litakuwa ndiyo chanzo kikubwa cha
kuwafahamisha wazee majukumu yao hasa katika wakati huu wa
kuelekea uchaguzi," alisema Issa.
Alisema kila mtu anafahamu binadamu huwa anapitia hatua muhimu za
maisha nazo ni utoto,ujana na utu uzima hivyo hamna budi wazee hawa
kuelewa lengo kuu katika katika uchaguzi mkuu huo kuwa katika mstari
ulinyooka.
"Kumekuwa na tabia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwatumia wazee kwa
ujanja tena hasa wakiwa na matatizo na kuwabagua wa vyama vingine lakini
sisi katika kongamano hili hatutobagua mzee wa chama chochote katika
kongamano hili kwani wazee wote ni hazina,"alisema
"Hakuna asiyefahamu kuwa kwa sasa nchi inaelekea katika uchaguzi mkuu
ambao uchaguzi huu utakuwa ni mkubwa na wa aina yake hivyo kwa kuwaita
wazee hawa itakuwa ni muendelezo wa kupata hekima zao kama
wazee"alisema.
Issa alisema katika uchaguzi mku wazee wana jukumu kubwa la
kuhakikisha kushiriki kikamilfu katika zoezi zima la kujiandikisha na
kupiga kura ipasavyo.
Alisema hatua hiyo haina budi kuwasahawisi watoto na watu wakubwa na
wajukuu kushiriki kwa ukamailifu katika tukio hili kwani kila mtu
anahitaji mabadiliko katika nchi.
Hata hivyo Issa alisema wazee pia wana jukumu kubwa la kutatua
migogoro ,kushawisi na kusimamia maadili lengo likiwa ni uthubutu wa
kukemea viongozi wanaopata madaraka kwa njia ya rushwa na ufisadi.
Alisema wanahitaji wazee watakaosimama kidete na kupaza sauti zao katika
kukemea maovu na watenda maovu bila kuona haya.
Alisema katika kongamano hilo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Katibu Mkuu
wa chama hicho Wilbroad Slaa huku mada mbalimbali zitatolewa na Mabere
Marando pamoja na viongozi wa dini ili kuwapa elimu wazee kutokana na
maadili ya nchi kumomonyoka kwa kiasi kikubwa
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

maadili ya nchi kumomonyoka kwa kiasi kikubwa.

Chapisha Maoni