0
Rais wa zimbabwe Robert Gabrhel mugabe pichani
kwa mala nyingine amekazia kiapo chake cha kuwanyonga wale wote watakaojihusisha na mapenz ya jinsia moja
@
akizungumza ktk mkutano mkubwa wa hadhara hiv karbuni kiongoz huyo ambaye pia ni mwenyekt wa zamu wa wakuu wa nchi wanacha wa umoja wa Afrika na SADC amesema Taifa lake kamwe halitakubal ushoga upige hod nchn humo na anachukia mno uchafu huo


.
Anasema ukiwachukua mashoga ukiwafungia chumban kwa miaka mitano halafu hawakuzalisha mtoto basi bora uwaue

Chapisha Maoni

 
Top