Sepp Blatter baada ya ushindi.
SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya
kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan.
Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi
ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi leo
licha ya kukumbwa na skendo za…
Blatter akiwa na mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan.
SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya
kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan.
Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi
ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi leo
licha ya kukumbwa na skendo za ufisadi.
Chapisha Maoni