
Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Npe Nnauye

Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa.

Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza meza kuu kuimba wakati wa
kufungua kwa mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

Kikundi cha burudani kikitumbuiza.

Wajumbe wakishangilia

Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Hamis Ngomero
kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo
vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini
Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wajumbe kwenye mkutano huo

Wajumbe wakisikiliza

Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi
wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.(Muro)
Chapisha Maoni