Mrembo mchakarikaji Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Akizungumza na Ijumaa Jokate alisema, watu wanaongea sana kuhusiana na
ukaribu wao bila kujua kuwa Kiba ni mtu wake kitambo na sasa ndiye kila
kitu kwake kwani ana projekti naye kibao ambazo zinakuja na wasioelewa,
ipo siku wataelewa.
“Yaani watu wangu wajue Kiba ni kila kitu kwangu ila siyo ishu ya
mapenzi, tuna projekti kibao, nawaomba watu wavute subi--ra watajionea
kila kinachoendelea kati yetu.Kuanzia sasa Kiba atakuwa akipeperusha
‘brand’ za Kidoti kwa kila atakachofanya ikiwa ni pamoja na mavazi,”
alisema Jokate.
Chapisha Maoni