Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal na mwenyeji wake Makamu wa Rais wa china Li Yuanchao wakisimama kwa heshima wakati nyimbo za Taifa la Tanzania na kenya zikipigwa kwenye mapokezi yake katika ukumbi maalum wa watu wa china kwa ajili ya mazungumzo baada ya ziara yake Nchini China
Mwenyekiti Baraza la Uongozi NACTVET ashuhudia utoaji mafunzo ya amali
shule za Sekondari
-
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi NACTVET, Bi. Bernadetta Ndunguru akipata
maelelezo kutoka kwa Mwalimu na Mratibu wa Mafunzo ya Amali katika Shule ya
Seko...
Saa 1 iliyopita
Chapisha Maoni