Kilabu ya QPR imemuajiri Chris Ramsey kama mkufunzi mkuu kwa muda wa miaka mitatu.
Ramsey
mwenye umri wa miaka 53 amepewa kibali hicho hadi mwisho wa mwezi Februari
baada ya Harry Redknapp kujiuzulu ambapo alishindwa kuizuia kilabu hiyo kusalia katika ligi kuu ya Uingereza.
Mwenyekiti wa klabu ya QPR Tony Fernandes amesema ''Chris alipochukua
ukufunzi wa timu hii tayari tulikuwa katika matatizo makubwa'', alisema
mwenyekiti wa
Chapisha Maoni