Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani
Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo
asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta
vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira
ulioko eneo la Kilimani karibu na ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya
mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea
msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia
yake ya kukuza vipaji kwa vijana na kuahidi kufanya vyema katika ligi ya
Wilaya ya Dodoma mjini(picha na Freddy Maro)
Mfumo Mpya wa Leseni za Madini Kuimarisha Uwazi na Uwekezaji
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Arusha, 1 Oktoba 2025: Tume ya Madini imeboresha mfumo wa utoaji na
usimamizi wa leseni za madini ili kurahisisha upatikanaji wa ...
Saa 5 zilizopita
Chapisha Maoni