
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mazishi
ya Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa leo
katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein
aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Chapisha Maoni