Raia 15 wa China wamefunguliwa
mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na
nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini
Marekani.
Marekani imesema kuwa kwa kipindi cha minne iliyopita wamekuwa wakikwepa mfumo halali wa uchaguzi wa majina ya chuo na badala yake kutumia majina bandia na pasi za kusafiria. Iwapo watakutwa na hatia kutokana na tuhuma hizo,raia hao wa China watafungwa hadi miaka 20 jela.
Chapisha Maoni