umehesabu wiki chache tu zimepita toka imeachiwa hit ya Diamond Platnumz– ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour, na tayari inafanya vizuri kwenye TV na Radio stations kubwa Afrika.
Diamond kakaribishwa Nigeria kwa mara nyingine tena, safari hii kilichompeleka ni ‘Nana Tour’ ambayo iko tofauti na tulivyozoea… watu wakisikia ‘Tour‘ mara nyingi tunafikiria kumwona staa akipiga show, ‘Nana Tour‘ ni kwa ajili ya kuutambulisha wimbo huo rasmi kwenye radio na TV kubwa za Nigeria.
Chapisha Maoni