MBUNGE wa jimbo
la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara
ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akizungumza wakati
akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo katika ukumbi wa
mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa jimbo la
Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu Naziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi
na Teknologia, January Makamba wakati akielezea vipaumbele vyake kwenye
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
leo.

Mbunge wa
jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu waziri wa wizara
ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akizungumza
na wananchi waliojitokeza kumsikiliza wakati akitangaza nia ya
kugombea nafasi ya Urais katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.

Kutoka
kulia ni Baba na Mama mzazi waMbunge wa jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC
na Naibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January
Makamba wakiwamsikiliza January Makamba wakati akitangaza nia ya
kugombea nafasi ya Urais katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es salaam leo.

Mbunge wa
jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara
ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisalimiana na
wananchi katika mkutano wa kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Avila Kakingo.)
wananchi katika mkutano wa kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Avila Kakingo.)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.