0
Rais Jakaya Kikwete na Linda Thomas- Greenfield(kushoto)
 Kikwete ameelezea kufurahishwa na wingi wa wagombea waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, akisema ni jambo zuri na ni ushahidi wa kiasi cha uhuru ambao umejengeka katika chama hicho. Habari leo 

Chapisha Maoni

 
Top