Mwenyekiti
wa Chama Cha Albino Tanzania, Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili leo jioni. Rais Kikwete
atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino
itakayofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid.kushoto no
Bwana Godson Molel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha. (picha na Freddy Maro)(P.T)
Home
»
»Unlabelled
»
JK KUONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO ARUSHA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
http://jamiiblog.co.tz/
http://lukemusicfactory.blogspot.com/
MITANDAO MINGINE
-
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi - Na MWANDISHI WETU Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...Saa 3 zilizopita
-
GERRARD HATA KAMA TUPO AFRIKA TUTAKUKUMBUKA DAIMA, KISOKA - [image: gerrard] Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard amestaafu rasmi kutumikia mchezo wa Soka ikiwa ni baada ya miaka 19 tangu alipocheza mchezo wake wa k...Miaka 9 iliyopita
-
-
Chapisha Maoni