Kaimu
mkuu wa mkoa wa Singida, Alli Kamanzi, akitoa nasaha zake za kuwaaga
vijana 279 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
katika kambi mbalimbali nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikosi cha JWTZ
kanda ya kati, meja Kakwayu.
Baadhi
ya vijana kutoka mkoa wa Manyara, Dodoma na Singida, waliochaguliwa
kujiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) kwenye kambi mbalimbali nchini
na safari yao imeanza jana baada ya kuagwa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa
Singida,A lli Kamanzi.(Picha na Nathaniel Limu).
Chapisha Maoni