Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mpango wa mawasiliano kuhusu athari za
magonjwa mbalimbali hatarishi kupitia simu ya mkononi akiwa na Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif Selemani Rashid na Mkurugenzi Mkuu wa
Tanzania Youth Alliance (TAYOA) Bw. Peter Masika kwenye Maadhimisho ya
Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia, katika Viwanja vya
Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni
26, 2015. PICHA NA IKULU
Wasanii
wanafunzi wa Mwaka wa tatu wakichezaa igizo la athari za madawa ya
kulevya mbele ya Rais Kikwete wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku
ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia yaliyofanyika katika Viwanja vya
Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni
26, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na timu za michezo zilizoshinda
michezo ya waathirika wa madawa ya kulevya walio katika matibabu kwenye
Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni
katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini
Bagamoyo.(VICTOR)
Chapisha Maoni