Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na
waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu
wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita
na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano
wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa
kuelekea mkoani Kagera.
Chapisha Maoni