0
Wasanii wa kikundi cha wanawake Mkoani Tanga wakiburudisha katika maonyesho ya wiki ya siku ya mazingira mkoani katika viwanja vya Tangamano kwa ngoma maarufu mkoani humo ya msanja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Binilith Mahenge akihojiwa na waandishi wa habari katika viwanja vya Tangamano wakati wa maonyesho ya wiki ya mazingira duniani inayofanyika jijini Tanga.

Chapisha Maoni

 
Top