Nkurunziza akiwa kwenye foleni kwenda kupiga kura yake ya kumchagua mbunge.
Rais Nkurunziza akipiga kura yake.
RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza leo amepiga kura katika eneo la Ngozi kwa ajili ya kumchagua mbunge wa Jimbo lake.
Nkurunziza amewasili katika kituo cha kupigia kura akitumia usafiri wa baiskeli akiwa amesindikizwa na wapambe wake.
Baadaye rais huyo anayetaka kuwania urais kwa muhula wa tatu alijipanga kwenye foleni ili apige kura huku pembeni yake wakiwepo walinzi.
Baadaye rais huyo anayetaka kuwania urais kwa muhula wa tatu alijipanga kwenye foleni ili apige kura huku pembeni yake wakiwepo walinzi.
Chapisha Maoni