![]() |
| Duka jipya la kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi,Tigo lafunguliwa mjini Moshi. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kampuni ya simu za mkononi ya Tigo lililozinduliwa mjini Moshi. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akifuatilia kwa makini shughuli za uzinduzi wa duka la Tigo katika mji wa Moshi. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo,wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo mjini Moshi. |
![]() |
| Meneja huduma kwa wateja kanda ya Kaskazini,Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea vitengo mbalimbali ndani ya duka hilo. |
![]() |
| Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kazini. |
![]() |
| Uuzaji wa simu za aina mbalimbali pia ulikuwa ukifanyika katika duka hilo. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama ,akifurahia jambo mara baada ya kutembelea ndani ya duka hilo na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo ya Tigo. |

















Chapisha Maoni