Bunge la Ulaya lilipokea kwa moyo mkunjufu kujiuzulu kwa Sepp Blatter.
Baada ya kupokea kwa moyo mkunjufu, bunge la Ulaya limetowa wito kwa shirika la FIFA likilitaka kuchagua kwa haraka kiongozi atakae wakilisha na kuongoza shirika hilo.
Bunge la Ulaya lilipitisha mswada unaoomba tume ambayo inasimamia uchunguzi wa madai ya rushwa katika shirika la FIFA kufanya haraka ilikupatikane suluhu.
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
Saa 5 zilizopita
Chapisha Maoni