Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. |
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. |
Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza wakai wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari. |
Mkuu wa Majaji walioshiriki kupatikana kwa washindi wa tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari, Dkt Ayoub Ryoba akizungumza katika hafla hiyo. |
Dkt. Ryoba akitambulisha majaji wenzake walioshiriki katika kupata washindi. |
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akitoa ngao Vyeti pamoja na mfano wa Hundi kwa washindi wa tuzo za TANAPA 2014 zitolewazo kwa wanahabari |
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Meja Jenerali Mrisho Sarakikya akizungumza katika hafla hiyo zaii akizungumzia historia ya namna alivyoshiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro zaidi ya mara 38. |
Mgeni rasmi katika Hafla hiyo,Lazaro Nyalandu, akitunuku tuzo kwa Meja Jenerali, Mirisho Sarakikya pamoja na kitambulisho maalumu ambacho kitamuwezesha kuingia bila malipo katika hifadhi 16 za Taifa. |
Meja Jenerali, Sarakikya akifurahia zawadi hiyo iliyotolewa na TANAPA. |
Mwandishi wa Habari wa Channel ten Cassius Mdami akizungumza kwa niaba ya washindi wa tuzo hizo. |
Mgeni rasmi, Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na washindi. |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na wahariri katika vyombo mbalimbali vya habari. |
Mgeni rasmi, Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari walioshiriki katika hafla hiyo.(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini aliyeko jijini Mwanza). |
Chapisha Maoni