Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria
Nyerere wakati alipokwenda kijijini Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa
njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma Juni 26, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria
Nyerere wakati alipokwenda Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani
kuelekea Mwanza akitoka Musoma Juni 26, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba wa Taifa
Mwalimu Nyerere wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria
Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma.(VICTOR)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kifimbo alichozawadiwa na Mtoto wa Baba wa
Taifa, Madaraka Nyerere (kulia) wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa
Taifa, Mama Maria Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza
akitoka Musoma Juni 26, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma Zelote
Stephen.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa
Mulongo kwenye hoteli ya Malaika mjini Mwanza Juni 26, 2015.
Chapisha Maoni