Kiongozi
wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa
Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea
kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo chanzo cha moto huo
kimeelezwa ni hitilafu ya umeme.
Kiongozi
wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akisaidia kuzima moto ambao
uliteketeza Soko Kuu la Masasi Mkoani Mtwara, usiku wa kuamkia jana
wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamepata hassara.
…………..
AJALI
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akisalimiana na askari aliposhuka
kuwapa pole abiria waliopata ajali eneo la Kata ya Mtua Kijiji cha
Kilimahewa A, Mkoani Lindi jana, ambapo watu wawili walipoteza maisha.
Chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi akijaribu kumkwepa muendesha baskeli. (DK)
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na wananchi wa eneo ilipotokea ajli hiyo.
Chapisha Maoni