Chama cha
CUF, kimeibuka na kumtetea aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
kwamba Chama Cha CCM kilimuonea kwa kukata jina katika ngazi ya Kamati
ya Maadili na kushindwa kulifikisha Kamati Kuu ya CCM (CC).
Kadhalika,
CUF kimesema kipo tayari kumpokea Lowassa ndani ya chama hicho kwa kuwa
ni msafi na hajawahi kufikishwa hata mahakamani kwa ajili ya
kushitakiwa kutokana na madai ya rushwa. Source Nipashe.
Chapisha Maoni