Rais wa zimbabwe Robert Gabrhel mugabe pichani
kwa mala nyingine amekazia kiapo chake cha kuwanyonga wale wote watakaojihusisha na mapenz ya jinsia moja
@
akizungumza ktk mkutano mkubwa wa hadhara hiv karbuni kiongoz huyo
ambaye pia ni mwenyekt wa zamu wa wakuu wa nchi wanacha wa umoja wa
Afrika na SADC amesema Taifa lake kamwe halitakubal ushoga upige hod
nchn humo na anachukia mno uchafu huo
.
Anasema ukiwachukua mashoga ukiwafungia chumban kwa miaka mitano halafu hawakuzalisha mtoto basi bora uwaue
IAA KUBORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA ILI KUENDELEA KUZALISHA WATAALAM
MAHIRI
-
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amesema IAA
itaendelea kuimarisha miundombinu na mazingira ya kujifunz...
Saa 14 zilizopita

Chapisha Maoni