Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na medali ya dhahabu ya
mwanafunzi bora katika kozi ya tatu ya National Defence College(NDC)
Brigedia Jenerali Aloyce Damian Mwanjile wakati wa mahafali iliyofanyika
chuoni huko Kunduchi jijjini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha
ya pamoja n wahitimu wa kozi ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa
Taifa(National Defence College NDC) huko Kunduchi jijini Dar es Salaam
leo.Aliyeketi Pembeni ya Rais kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama Jenerali Davis Mwamunyange na aliyeketi pembeni ya Rais Kushoto
ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Gaudence Salim Milanzi.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kutunuku vyeti na zawadi
kwenye mahafali ya kozi ya tatu ya National Defence College iliyofanyika
Kunduchi jijini Dar es Salaam leo ambapo jumla ya wanafunzi 42
walihitimu masomo yao.
Chapisha Maoni