.jpg)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa unaojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho
kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la
Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM.
Chapisha Maoni