0
SAM_2937
Askari wa usalama barabarani mkoani Arusha wakimkamata mwendesha bodaboda(aliyevalia fulana nyuepe)leo kwa kukiuka sheria za barabarani katika barabara ya boma mkabala na ofisi za TTCL jijini Arusha ,hata hivyo dereva huyo alichomoka na ufunguo wa pikipiki na kuwaacha askari hao wakishangaa(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).(Muro)

Chapisha Maoni

 
Top