0

RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI ILIYOPITISHWA NA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CHA TAREHE 23-24/05/2015

1.        URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
NA
TAREHE
TUKIO
1.
03/06/2015 hadi  02/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Wadhamini
3.
08/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili
4.
09/07/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
5.
10/07/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa
6.
11/07/2015 hadi 12/07/2015
Mkutano Mkuu

2.        URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
NA
TAREHE
TUKIO
1.
03/06/2015 hadi  02/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Wadhamini
3.
04/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili - Zanzibar
4.
05/07/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
5.
08/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili
6.
09/07/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
7.
10/07/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kuteua mgombea Urais

3.        UBUNGE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi  19/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni
4.
02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
5.
03/082015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
6.
05/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mkoa

08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi.

4.        UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni

02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
4.
03/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
5.
05/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mkoa
6.
08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi

5.        UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM - WANAWAKE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
02/08/2015
Mikutano Mikuu ya UWT Mikoa kupiga kura za maoni kwa wagombea 2 kwa kila mkoa.
3.
03/08/2015
Baraza Kuu la Vijana Mkoa kupiga kura za maoni kwa wagombea wa Viti Maalum kundi la Vijana.
4.
04/08/2015
Baraza Kuu la Wazazi Mkoa kupiga kura za maoni kwa wagombea Viti Maalum kundi la Wazazi.

05/08/2015
Kamati za Siasa za Mikoa kuandaa mapendekezo yatakayowasilishwa kwenye Baraza Kuu la UWT Taifa.
4.
07/08/2015
Baraza Kuu la UWT kuandaa mapendekezo yatakayowasilishwa kwenye Halmashauri Kuu ya Taifa.
5.
08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa
6.
09/08/2015
Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi

6.        UDIWANI WA KATA/WADI
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni
4.
02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
5.
03/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Kata/Wadi
6.
04/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
7.
05/08/2015 hadi 06/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mikoa
8.
07/08/2015
Kikao cha Halmshauri Kuu ya Mkoa kwa ajili ya uteuzi.

7.        UDIWANI VITI MAALUM - WANAWAKE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua  na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/08/2015
Mikutano Mikuu ya UWT ya Wilaya kwa ajili ya kupiga kura ya maoni
3.
04/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
4.
05/08/2015 hadi 06/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mikoa
5.
07/08/2015
Kikao cha Halmshauri Kuu ya Mkoa kwa ajili ya uteuzi.

MASHARTI KWA KILA NAFASI YA KUOMBEA UONGOZI
1.        URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
·              Kila mgombea ni lazima apate wadhamini 450 katika mikoa 15 walau 3 kati ya hiyo iwe ya Zanzibar.
·              Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa Taifa hawaruhusiwi kumdhamini mgombea Urais.   
·              Mwanachama haruhusiwi kumdhamini mgombea Urais zaidi ya mmoja.
·              Fomu ya udhamini ya wanachama ithibitishwe na Katibu wa CCM wa Wilaya kwa kupigwa muhuri wa Chama wa Wilaya husika.
·              Wanachama watakao mdhamini mgombea, uanachama wao uthibitishwe na Katibu wa CCM Wilaya husika na kupiga muhuri wa Chama.  
             
2.        URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
·              Kila mgombea ni lazima apate wadhamini 250 katika mikoa 3 kati ya hiyo angalau Mkoa mmoja toka Unguja na mmoja kutoka Pemba.
·              Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa Taifa hawaruhusiwi kumdhamini mgombea Urais.
·              Mwanachama haruhusiwi kumdhamini mgombea Urais zaidi ya mmoja.
·              Fomu ya udhamini ya wanachama ithibitishwe na Katibu wa CCM Wilaya kwa kupigwa muhuri wa Chama wa Wilaya husika.
·              Wanachama watakao mdhamini mgombea, uanachama wao uthibitishwe na Katibu wa CCM Wilaya husika na kupiga muhuri wa Chama.

3.        UBUNGE
·               Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
·               Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.

4.        UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI
·              Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
·              Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.

5.        UDIWANI WA KATA/WADI
·              Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
·              Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.
MWISHO:
Aidha, wagombea wote wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Chama Cha Mapinduzi.

Chapisha Maoni

Top