Bi.Jasmine
Mussa akiwa mwenye furaha kubwa baada ya sherehe graduation yake ya
kumaliza High school iliyofanyika huko Marriott Hotel Gaithersburg Md
sasa akijiandaa kwenda Chuo cha Kent State Ohio.
Dorris Puja mama mzazi.
Wanafamilia wote wa Puja na Mussa wakipata kumbu kumbu ya pamoja.
Mzee Puja aliyekuja kushuhudia graduation ya mjukuu wake akitokea Canada.
Mtaalam steve Jr.
Mr&Mrs Msungu.
Umi Mbega anti wa Jasmine kutoka Columbus ohio.
Robert,Joyce na mtoto wao Aida.
Sunday akiwa na "Empress"
.
Bi.Sarah Sokoine.Kwa picha zaidi ungana na sunday somari.com
Chapisha Maoni