0
Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda.
Karama akionyesha pete ya uchumba.

Wapambe wakiwa tayari kushuhudia tukio hilo.
Luteni Karama akimvisha pete Isabela Mpanda.
Isabella akiwa haamini kama kweli amevishwa pete.
Bella akionyesha pete yake ya uchumba.
Bella akimbusu mpenzi wake baada ya zoezi la kuvishwa pete.
MWANAMUZIKI Luteni Karama juzi Jumamosi alimmvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi ambaye pia ni mwanamuziki, Isabela Mpanda 'Bella'.
Tukio hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Klabu Kakala iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati wa shoo iliyokwenda kwa jina la Swagaz Night ambapo mastaa hao walikuwa wakipiga shoo.

Chapisha Maoni

 
Top