0

ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI TAALA WABARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika  WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu nyingine za TAMCO.
Jumamosi  June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr, Silver Spring, MD 20901
Kwa Taarifa Zaidi, Maswali au Mapendekezo, Tafadhali Wasiliana na:-
Mwenyekiti:  Ali Mohamed     301 500 9762
Muweka Hazina: Asha Hariz  703 624 2409
Muweka Hazina: Shamis Abdulla 202 509 1355
WaTanzania Wote Mnakaribishwa.

Ukipata Habari hii, Tafadhali Mjulishe Mwenzio.

Chapisha Maoni

 
Top