Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(suti
nyeusi) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John
Casmir Minja mara baada ya kuwasili leo Mei 25, 2015 katika Ukumbi wa
Mikutano wa Edema, Mkoani Morogoro kwa ajili ya ufunguzi wa Kikao cha
Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka 2015/2016(wa pili kulia) ni
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa
maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani) kutoa
hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka
2015/2016.
Wajumbe wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka
2015/2016 wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi leo Mei 25, 2015
katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema, Mkoani Morogoro.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimkabidhi
Begi lenye makabrasha ya Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza,
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(wa
kwanza kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice
Chamulesile.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak
Abdulwakil(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kikao
cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka 2015/2016 waliosimama(wa
tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir
Minja(wa tatu kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice
Chamulesile(wa pili kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston
Sanga(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Chapisha Maoni