Majaji wa
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) wakiingia Mahakamani
kusikiliza kesi ya ujambazi iliyofunguliwa dhidi ya watuhumiwa 10 raia wa
Kenya walioufanya mwaka 2006 mkoani Kilimanjaro.

Rais wa
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR), Jaji Augustino
Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha
na kutoa wito kwa nchi zaidi kutoa tamko kwa Mahakama hiyo ili wananchi
na asasi za kiraia kuitumia Mahakama hiyo, nchi saba pekee ikiwemo
Tanzania zimetoa tamko hilo.

Wanafunzi
wa Shule ya mchepuo wa kiingereza ya St Jude ya mkoani Arusha wakiwa
katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) wakisikiliza
mwenendo wa kesi ikiwa ni sehemu ya masomo yao.(Muro)
Chapisha Maoni